Thursday, 15 November 2012

RAPPER MKALI WA KIKE KUTOKA TANZANIA RAH P APITIA MATESO MAKUBWA INCHINI MAREKANI

Baada ya kimya kirefu kwenye mziki wa bongo fleva,msanii Rah p aliyevuma saana kwa kibao cha hayakuhusu hivi majuzi aliwahi kutoa wimbo mpya akimshirikisha msanii kutoka rwanda anayekwenda kwa jina alpha.ila kabla ya wimbo huo kutoka,Rah p amepitia mateso makubwa saana kama vile kuishi na mwanaume mlanguzi wa madawa ambaye kabla amjue vizuri kuwa ni mlanguzi tayari alikua ameshamzalisha watoto wawili huko marekani.kulingana na Rah p ni kwamba hata alishawahi kufungwa jela.Mengi zaidi msikilize Rah p mwenyewe akimwaga data kuihusu ishu hiyo katika video iliyopo hapo juu

SHABIKI WA YANGA ALIA KWA UCHUNGU NA JAZBA SAANA BAADA YA YANGA KUFUNGWA NA SIMBA


HEHE HUYU JAMAA ALIONJA KILE MAFANS WA ARSENAL NA GOR HUONJANGA ..HII KALI SAANA