RAPPER MKALI WA KIKE KUTOKA TANZANIA RAH P APITIA MATESO MAKUBWA INCHINI MAREKANI
Baada ya kimya kirefu kwenye mziki wa bongo fleva,msanii Rah p aliyevuma saana kwa kibao cha hayakuhusu hivi majuzi aliwahi kutoa wimbo mpya akimshirikisha msanii kutoka rwanda anayekwenda kwa jina alpha.ila kabla ya wimbo huo kutoka,Rah p amepitia mateso makubwa saana kama vile kuishi na mwanaume mlanguzi wa madawa ambaye kabla amjue vizuri kuwa ni mlanguzi tayari alikua ameshamzalisha watoto wawili huko marekani.kulingana na Rah p ni kwamba hata alishawahi kufungwa jela.Mengi zaidi msikilize Rah p mwenyewe akimwaga data kuihusu ishu hiyo katika video iliyopo hapo juu
No comments:
Post a Comment