Tuesday, 2 October 2012

DIAMOND,WEMA NA OMMY DIMPOZ KWENYE KITU CHA MOVIE

Katika siku za hivi majuzi...msanii Diamond alijitokeza na kukana kabisa kuwa yeye na mrembo wake wa zamani Wema sepetu wamerudiana.Diamond alikiri pia kuwa ana mpenzi wake ila sio wema sepetu.Pia akaongeza kuwa wema ana mpenzi wake na anamjua saaana huku akitaja uhusiano wake na wema kuwa wa kaka na dada na kikazi kwa sasa wakipania kufanya kazi ili kusaidiana kisanaa.Kauli hii ya Diamond kufanya kazi pamoja na wema sepetu imeanza kuonyesha matunda kwani kwa sasa  wawili hao wataigiza kwenye movie ya mapenzi itakayokwenda kwa jina la cross of love.movie hiyo pia itajumuisha star wa muziki wa kizazi kipya Ommy dimpoz

No comments:

Post a Comment