Nyote mnakaribishwa Tana Gardens Hotel Garissa.Kama wewe ni mkazi wa Garissa hoteli hi inapatikana katikati ya kituo cha mafuta cha heller na na kituo cha mabasi cha muhsin.Kwa wale hamjawahi kufika Garissa basi hoteli hii iko mahali peupe kabisa ambapo ni rahisi kabisa kupaona au unapofika katika kituo cha heller basi utaelekezwa.Katika hoteli hii utapata vyakula vingi na vizuri haswa vile vya kienyeji kutoka katika kila pembe ya Taifa letu ambavyo vimetayarishwa na wapishi stadi kutoka kila pembe ya Kenya.Huduma katika hoteli hii ni za hali ya juu saana.Pia kuna sehemu za makongamano na mikutano iwapo pengine una mkutano wako.Maandhari ya hoteli hii ni mazuri,tulivu na ya kuvutia saana.Karibu Tana Gardens hotel uje ufurahie huduma bora na vyakula vitamu kwa bei nafuu
No comments:
Post a Comment