KWA UBISHI NA HSIRA NARUDI TENA NDANI YA GAME "RAY C"
RAY C ATANGAZA KURUDI TENA NDANI YA MZIKI WA KIZAZI KIPYA MWEZI WA NANE ILI KUPAMBANA KUIMILIKI NAFASI ALIYOKUA NAYO KABLA HAJAATHIRIKA NA MADHARA YA UTUMIAJI WA MADAWA YA KULEVYA... CHINI NI MOJA YA VIDEOS ALIZOSHIRIKI KABLA HAJAKUBWA NA MADHARA YA MADAWA ALIPOSHIRIKISHWA NA MSANII LADY B KWENYE VIDEO YA MREMBO REMIX
No comments:
Post a Comment