Ukiwa ni mwaka wa uchaguzi Tanzania,kumetokea wasanii
wengi wa mziki wa kizazi kipya pamoja na waigizaji kujitokeza na kutumia
umaarufu walionao kugombea nyadhifa mbali mbali za kisiasa inchini
Tanzania.Wasanii hawa ni kama vile a Prof Jay,Keisha pamoja na waigizaji steve
nyerere na wema sepetu.
Inaonekana hali kama hii huenda ikadhihirika wazi hapa
pwani kwani ikiwa ni mapema saana msanii wa injili kutoka hapa pwani
anayekwenda kwa jina mtaliano eliano amejitokeza na kuweka wazi azma yake ya
kuingia kwenye siasa mwaka wa 2017....huyu hapa msikilize akizungumzia ngazi ya
kiti atakachogombea,eneo analopania kusimamia pamoja na sababu zake za kujitosa
kwenye siasa.
No comments:
Post a Comment